"With a Child's Heart" ni jina la kutaja wimbo wa msanii wa muziki wa pop wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitolewa ukiwa kama wimbo kwanza kutoka katika albamu yake ya mwaka 1973, Music & Me. Wimbo ulipata kushika nafasi ya #50 katika chati za Billboard Pop Singles, #14 kwenye chati za US R&B, na #23 kwenye chati za US adult contemporary.
Chati zake
Marejeo