"Got to Be There" ni wimbo wa mwaka wa 1971 uliotolewa na msanii wa rekodi za muziki Michael Jackson kwenye studio ya Motown. Huu ulikuwa wimbo wake wa kwanza kuimba akiwa kama msanii wa kujitegemea tangu hapo alivyokuwa mwimbaji kiongozi wa bendi yenye-mafanikio ya The Jackson 5. Shughuli za usanii wa kijitegemea kwa Michael ulianza baada ya kupata mafanikio yake katika albamu ya Got to Be There.
Wimbo ulitungwa na Elliot Willensky (Bayonne, NJ) na kutayarishwa na mtayarishaji wa zamani wa Jackson 5, Hal Davis, na ulipata mafanikio haraka sana na kushika #1 kwenye chati za Cashbox, na #4 kote kwenye chati za Billboard pop na R&B.
Viungo vya Nje
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Got to Be There (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|