"One Day in Your Life" ni wimbo uliorekodiwa na Michael Jackson kwa ajili ya albamu yake ya mwaka wa 1975, Forever, Michael. Ulikuja kutolewa tena baadaye ukiwa kama single mnamo 1981 baada ya kupata kuvuma sana kwa albamu yake ya 1979 Off the Wall, ingawa Jackson aliitoa albamu yake katika studio tofauti.
Chati
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu One Day in Your Life (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|