"Leave Me Alone" kilikuwa kibao cha nane kutolewa katika albamu ya msanii wa rekodi ya muziki Michael Jackson. Kibao hiki kinatoka katika albamu yake ya saba ya mwaka wa 1987, Bad. Kibao hiki kinaonekana katika toleo la CD la albamu kikiwa kama wimbo wa ziada kwenye albamu[1] na wala hakikutolewa kama single kwa nchini Marekani. Kibao hiki kiliwekwa kama moja ya sehemu ya filamu ya Jackson ya 1988 Moonwalker na kushika nafasi ya 1 nchini UK New Musical Express. Kibao hiki kilikuja kutolewa tena upya mnamo tar. 17 Aprili 2006 kikiwa kama moja ya sehemu ya seti ya Visionary: The Video Singles.
Orodha ya nyimbo
Toleo Halisi
- 7" Single
- "Leave Me Alone" – 4:40
- "Human Nature" – 4:05
- 12" Single
- "Leave Me Alone" – 4:40
- "Human Nature" – 4:05
- "Don't Stop 'Til You Get Enough" – 6:04
Toleo la Visionary
- Upande wa CD
- "Leave Me Alone" (toleo la albamu) - 4:40
- "Another Part of Me" (Meongozwa Urefu na Kumixiwa) - 6:18
- Upande wa DVD
- "Leave Me Alone" (muziki wa video)
Michakaliko yake kwenye chati
Marejeo
Viungo vya Nje
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leave Me Alone kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|