"Playa Cardz Right" ni wimbo wa mwimbaji wa R&B Keyshia Cole ambao ulitolewa ukiwa kama single kiongozi kutoka katika albamu yake ya tatu A Different Me. Wimbo umemshirikisha rapa 2Pac. Wimbo pia upo kwenye albamu ya 2Pac ya mwaka wa 2006, Pac's Life.
Wimbo ulitayarishwa na Ron Fair na Carvin & Ivan. Muziki wa video wa wimbo ulianza kuoneshwa kwenye Access Granted ya BET mnamo tar. 30 Oktoba 2008.
Remixi yake imemshirikisha rafiki yake 2Pac na mwanachama wa Outlawz Hussein Fatal akiwa na Keyshia Cole na 2Pac.
{{cite web}}
|publisher=