"Life Goes On" ni single ya tano ya 2Pac kutoka katika albamu ya All Eyez on Me. Wimbo ulitolewa kwa ajili ya raifiki yake aitwaye Kato. Wimbo pia unazungumzia kifo chake mwenyewe, na mazishi yake.[1]
"Life Goes On" uliingizwa kwenye Greatest Hits ya 2Pac mnamo 1998. Mchanganyiko wa wimbo pia uliwekwa kwenye albamu ya Nu-Mixx Klazzics mnamo mwaka wa 2003.
Rapa Bizzy Bone ametengeneza wimbo wake mwenyewe wa "Life Goes On" kwa ajili ya 2Pac. Wimbo ulirekodiwa kwa ajili ya filamu ya Heaven'z Movie, lakini haikutengeneza albamu.
Marejeo