"Holler If Ya Hear Me" ni wimbo wa 2Pac, kutoka katika albamu yake ya pili, Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.. Wimbo ulikuwa ndiyo wa kwanza kutolewa kama single kutoka katika albamu hii hapo mnamo mwaka wa 1993. Kibao kimechukua sampuli ya wimbo wa kundi la Public Enemy, "Rebel Without a Pause", ni wimbo wa ulinzi wa taifa. Upingaji maendeleo kwa watu weusi maskini, kutokuwa na haki kwa polisi, na maono ya Tupac juu ya dhdi ya mateso ya kisiasa kutoka kwa Dan Quayle amejaza kundi la watu kwenye mfumo wake.[1] Wimbo ni tawasifu kiasili, inataja matatizo kadha wa kadha aliyoyapata mwenyewe Tupac,[2] na mhariri wa gazeti la Vibe amenukuliwa kwenye gazeti la TIME akieleza ya kwamba kibao hiki akiharibu vijana.[3] Wimbo ulitumiwa na Michael Eric Dyson kama jina la kitabu chake kuhusu maisha ya Tupac Shakur.[4]
Marejeo