"In da Club" ni wimbo wa hip hop ulioimbwa na rapa 50 Cent kutoka kwenye albamu yake ya kwanza ya kibiasha, Get Rich or Die Tryin'. Wimbo ulitayarishwa na Dr. Dre kwa ushirikiano wa Mike Elizondo. 50 Cent, Dr. Dre, na Elizondo wameutunga wimbo huu. Wimbo ulitolewa mwishoni kabisa mwa mwaka wa 2002 ukiwa kama wimbo kiongozi wa albamu na ulipata sifa nzuri katika medani ya muziki.
"In da Club" umekuwa wimbo wa kwanza wa 50 Cent na ilikuwa single namba moja katika miaka ya 2003 na ulikuwa wimbo mashuhuri Marekani na kuingia katika tano bora za nchi za Ulaya. Katika sherehe za ugawaji wa Tuzo za Grammy za 46, ilipata kupigiwa kura katika kundi la Nyimbo Bora za Msanii wa Kiume - Solo na Wimbo Bora wa Rap.
Orodha ya nyimbo
- "In da Club" (clean)
- "In da Club" (explicit)
- "Wanksta"
- "In da Club"
- "Wanksta"
- "In da Club" (instrumental)
- "In da Club" (multimedia track)
- "Wanksta" (multimedia track)
Chati zake
Marejeo
Viungo vya Nje
|
---|
Albamu zake | |
---|
Single zake | |
---|
Filamu | 50 Cent: The New Breed · "Pranksta Rap" · Get Rich or Die Tryin' · Home of the Brave · The Dance · The Ski Mask Way · Righteous Kill]] · Live Bet |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu In da Club kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|