"21 Questions" ni wimbo ulioimbwa na rapa 50 Cent. Nyimbo pia imemshirikisha rapa mwingine Bw. Nate Dogg, ambaye ametia vionjo kadhaa katika nyimbo. Sana-sana katika kiitikio, lakini katika kutaja wimbo huu haitajwi kama wimbo umeimbwa na 50 Cent na Nate Dogg, yeye aliuza sura tu.
Nyimbo ilitungwa na mwenyewe 50 Cent, K. Risto, J. Cameron, na V. Cameron kwa ajili ya albmu ya 50 Cent ya Get Rich or Die Tryin' ya mwaka wa 2003. Single ilitoka mnamo mwaka wa 2003 ikiwa kama single ya pili kutoka katika albamu hiyo, na ikawa single yake ya pili kushika nafasi ya kwanza katika nchi ya Marekani baaada ya "In Da Club".
Na ikafanikiwa kushika nafasi ya sita katika chati za single za Uingereza, wakati "In Da Club" ilikuwa nafasi ya 23, ikampa heshma kubwa na kufanya kuwa na single kwa wakati katika 30 bora za UK. Nyimbo ilitayarishwa na Bw. Dirty Swift na kufuata mfano wa nyimbo ya Barry White ya "It's Only Love Doing Its Thing.
Orodha ya nyimbo
- 21 Questions (toleo kwa ajili ya albamu)
- Soldier (50 Cent na G-Unit wamefanya michano)
- 21 Questions (moja kwa moja kutoka New York)
- 21 Questions (video yake)
Remix yake
Remix yake ilitolewa ikiwa imemshirikisha mwimbaji wa Kimarekani wa R&B Bi. Monica.
Wahusika na ukamilishaji wa nyimbo
- Mtayarishaji: Dirty Swift
- Kuiweka sawa na: Dr. Dre
- Imerekodiwa na: Sha Money XL na Maurico "Veto" Iragorri
- Imeandaliwa na: Carlise Young
- Imesaidiwa na: Ruben Rivera
Chati
Chati zake kwa mwaka wa (2003)[1][2][3]
|
Nafasi iliyoshika
|
Australian Singles Chart
|
4
|
Austria Singles Chart
|
39
|
Belgium Singles Chart
|
37
|
Canadian Singles Chart
|
5
|
Dutch Singles Chart
|
8
|
Denmark Singles Chart
|
18
|
Finland Singles Chart
|
13
|
France Singles Chart
|
58
|
Germany Singles Chart
|
34
|
Ireland Singles Chart
|
11
|
New Zealand Singles Chart
|
8
|
Norway Singles Chart
|
15
|
Simland SimBoard Hot 30
|
2
|
Swedish Singles Chart
|
34
|
Swiss Singles Chart
|
14
|
UK Singles Chart
|
4
|
United World Chart
|
10
|
U.S. Billboard Hot 100
|
1
|
U.S. Billboard Top 40 Mainstream
|
6
|
U.S. Billboard Top 40 Tracks
|
5
|
U.S. Billboard Rhythmic Top 40
|
1
|
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs
|
1
|
U.S. Billboard Hot Rap Tracks
|
1
|
Marejeo
Viungo vya Nje
|
---|
Albamu zake | |
---|
Single zake | |
---|
Filamu | 50 Cent: The New Breed · "Pranksta Rap" · Get Rich or Die Tryin' · Home of the Brave · The Dance · The Ski Mask Way · Righteous Kill]] · Live Bet |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|