"If I Can't" ni wimbo wa nne na wa mwisho kutoka katika albamu ya kwanza ya msanii/rapa wa Kimarekani 50 Cent, Get Rich or Die Tryin'. Wimbo huu umepata chati hafifu sana katika orodha ya nyimbo za 50 Cent zilizotolewa nchini Marekani. Ulitolewa mwaka wa 2003, na kushika nafasi ya 76 katika maingizo ya 100 bora. Wimbo ulitungwa na 50 Cent na kutayarishwa na Dr. Dre, kwa ushirikiano wake mpiga kinanda Mike Elizondo.
Chati zake
Remix zake
Marejeo
|
---|
Albamu zake | |
---|
Single zake | |
---|
Filamu | 50 Cent: The New Breed · "Pranksta Rap" · Get Rich or Die Tryin' · Home of the Brave · The Dance · The Ski Mask Way · Righteous Kill]] · Live Bet |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu If I Can't kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|