Katika majira ya baridi, usafiri kwenye Bahari ya Okhotsk unakuwa mgumu, au hata hauwezekani, kwa sababu ya wingi wa barafu.
Visiwa
Baadhi ya visiwa vya Bahari ya Okhotsk ni vikubwa kiasi. Hii ni pamoja na Hokkaido ambayo ni kisiwa cha pili kwa ukubwa cha Japani, na Sakhalin ambayo ni kisiwa kikubwa cha Urusi. Visiwa vingi vidogo vya bahari hiyo havina wakazi, hivyo ni maeneo bora ya kuzaliana kwa sili na pinnipedia wa spishi mbalimbali pamoja na ndege wa baharini.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Okhotsk kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!