Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Wikipedia ya Kijerumani

Logo ya Wikipedia kwa Kijerumani.

Wikipedia ya Kijerumani (Kwa Kijerumani: Deutschsprachige Wikipedia) ni toleo la Wikipedia kwa lugha ya Kijerumani. Wikipedia kwa Kijerumani ni toleo la pili la kamusi elezo ya Wikipedia, na ndilo la pili pia kwa ukubwa baada ya Wikipedia ya Kiingereza.

Wikipedia kwa Kijerumani, ndilo toleo la kwanza la Wikipedia kwa lugha nyingine tofauti na Kiingereza. Ilianzishwa mnamo tar. 16 Machi katika mwaka wa 2001. Na kwa mwezi wa Januari ya mwaka wa 2009, Wikipedia kwa Kijerumani imefikisha zaidi ya makala 859,000 na kuifanya kuwa ya pili kwa wingi wa makala ilizonazo Wiki hiyo.

Tazama pia

Viungo vya Nje

Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya