Siriaki, Largi na wenzao Kreshensiani, Memia, Juliana na Smaragdo (walifariki Roma, Italia, 16 Machi 306) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].
Siriaki alikuwa shemasi na mzinguaji.
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 8 Agosti[2].