Tarehe 8 Agosti ni siku ya 220 ya mwaka (ya 221 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 145.
Matukio
Waliozaliwa
1079 - Horikawa , mfalme mkuu wa Japani (1087-1107)
1884 - Sara Teasdale , mshairi kutoka Marekani
1896 - Marjorie Kinnan Rawlings , mwandishi wa kike kutoka Marekani
1901 - Ernest Orlando Lawrence , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1939
1902 - Paul Dirac , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1933
1937 - Dustin Hoffman , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
1945 - Bruno Pius Ngonyani , askofu Mkatoliki nchini Tanzania
1952 - Jostein Gaarder , mwandishi Mnorwei
1964 - Klaus Ebner , mwandishi wa Kijerumani kutoka Austria
1969 - Masta Killa , mwanamuziki kutoka Marekani
1981 - Roger Federer , mchezaji tenisi kutoka Uswisi
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Dominiko Guzman , Sekundi, Karpofori na wenzao , Siriaki, Largi na wenzao , Marino wa Tarso , Eusebi wa Milano , Severo wa Vienne , Momoli wa Fleury , Emiliani wa Kuziko , Altmani , Famiano , Paulo Ke Tingzhou , Bonifasia Rodriguez , Maria wa Msalaba MacKillop n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 8 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .