Roger Federer (8 Agosti1981, Basel; tamka: rod-jer fe-de-rer) ni mchezaji tenisi kutoka Uswisi. Federer alishinda mashindano 17 ya grand slam akaongoza mara nne orodha ya wachezaji bora duniani. Federer anatazamiwa na wabingwa wa tenisi kuwa kati ya wachezi bora kabisa katika historia ya michezo hii..[1]