Hii ni orodha ya volkeno nchini Tanzania zilizokuwa hai katika kipindi cha miaka milioni 2.5 iliyopita. Tanzania inapitiwa na Bonde la Ufa ambako bamba la Afrika linaelekea kupasuka. Katika eneo hili ganda la dunia si nene kama kawaida na magma kutoka chini haina njia ndefu ya kufika juu. Hivyo volkeno za Tanzania ziko kwenye bonde la Ufa au kando lake.
Volkeno nyingine ni:
{{cite journal}}