On the 6 ni albamu ya kwanza kutoka kwa mwimbaji-mwandishi Jennifer Lopez, iliyotolewa nchini Marekani mnamo 1 Juni 1999. Ilkuwa namba 8 kwenye chati ya Billboard 200 mnamo 19 Juni 1999, ikipata mauzo ya nakala 112,000 kwenye wiki ya kwanza.[1] Ilibaki kwenye top 20 kwa muda wa wiki kumi na moja na kwenye chati kwa muda wa wiki hamsini na tatu. imeuza nakala milioni saba kote duniani, na kutoa singles tano, ikiwemo "If You Had My Love" iliyokuwa namba 1 kwenye chati ya Billboard Hot 100. Jina la albamu hii inatokana na barabara ya 6 mjini New York ambayo Lopez alikuwa akitembea kutoka nyumbani kwake hadi kazini kila siku.
American Music Awards
Grammy Awards
Latin Grammy Awards
Billboard Music Awards
Brit Awards
Billboard Latin Music Awards -
Nickelodeon's Kid's Choice Awards
Soul Train Music Awards
MTV Video Music Awards
Teen Choice Awards
ALMA Awards
{{cite web}}