Umoja wa Mungu Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu) Umwilisho Maisha ya Yesu Msalaba Ufufuko Kupaa Historia ya Wokovu Ufunuo Biblia Mapokeo Ualimu Dogma Neema Dhambi Wokovu Sakramenti Watakatifu Bikira Maria
Papa: Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu Kundi la Makardinali Kanisa la Kilatini Makanisa Katoliki ya Mashariki
Historia Ukristo Ukatoliki Mlolongo wa Kitume Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa Sala Falsafa Teolojia Muziki Sanaa Sayansi
Liturujia Mwaka wa Kanisa Ekaristi Liturujia ya Vipindi
Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury) Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia Liturujia ya Mesopotamia
Kanisa Katoliki la Kigiriki la Belarus ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote.
Linafuata mapokeo ya Ukristo wa Ugiriki na kutumia liturujia ya Ugiriki.
Linapatikana hasa nchi Belarus, ambako lina waumini 5,000 hivi katika parokia 16 chini ya mapadri 16 na mashemasi 3.