Historia ya Falme za Kiarabu inahusu eneo ambalo leo linaunda Muungano wa Falme za Kiarabu.
Maeneo ya muungano huo pamoja na Qatar na Bahrain yalikuwa nyumbani kwa makabila madogo na chifu zao.
Tangu mwaka 1820 walikuwa na mikataba na Uingereza walipoahidi kuachana na uharamia na kupokea ulinzi wa Uingereza. Ulinzi huo ulizuia uvamizi wa Saudia katika karne ya 20.
Falme hizo zilikuwa nchi lindwa chini ya Uingereza hadi mwaka 1971, ambapo madola hayo madogo yalipata uhuru. Saba kati yake yaliungana kwa jina la Falme za Kiarabu.
Afghanistan · Armenia · Azerbaijan · Bahrain · Bangladesh · Bhutan · Brunei · China · Falme za Kiarabu · Georgia · Indonesia · Iran · Iraq · Israel · Japan · Kamboja · Kazakhstan · Korea Kaskazini · Korea Kusini · Kupro · Kuwait · Kirigizistani · Laos · Lebanon · Malaysia · Maldivi · Misri · Mongolia · Myanmar · Nepal · Omani · Pakistan · Qatar · Saudi Arabia · Singapore · Sri Lanka · Syria · Tajikistan · Timor Mashariki (Timor-Leste) · Turkmenistan · Ufilipino · Uhindi · Urusi · Uthai · Uturuki · Uzbekistan · Vietnam · Yemen · Yordani
Abkhazia · Kupro Kaskazini · Ossetia Kusini · Palestina · Taiwan
Christmas Island · Cocos (Keeling) Islands · Hong Kong · Macau