Where the Dreams Come True Tour ilikuwa ni moja ya ziara kubwa walizowahi kufanywa na kundi la Westlife's Wakiweza kutembelea maeneo kama Uingereza, na bara la Uropa, katika mwaka, 2001. Ziara hiyo, ilipewa jina la utani la "The No Stool Tour" yaani onesho lisilo na viti, hii ikiwa ni kutokana na mazoea ya kundi hili kufanya maonesho wakiwa wamekaa.
01. Dreams Come True 02. No No 03. If I Let You Go 04. Swear It Again 05. Somebody Needs You 06. Seasons In The Sun 07. I Have A Dream 08. You Make Me Feel 09. When You're Looking Like That 10. My Love
Medley 11. Wild Thing 12. More Than Words 13. My Girl 14. Can't Get Next To You 15. Ain't Too Proud To Beg 16. Baby I Need Your Loving 17. What Becomes Of The Broken Hearted
18. Fool Again 19. Uptown Girl 20. What Makes A Man 21. I Lay My love On You 22. Flying Without Wings
Tamasha la moja kwa moja liliafanyika mwaka huohuo
Tamasha la DVD lilijumuisha nyongeza ya mambokadhaa, kama vile,makala ya "Acces All Area" na pia albuma nzima ya ya "World Of Our Own" na pitisho la tovuti ya Westlife.
ifanyika nchini China nakuwekwa katika CD na DVD .[1] Toleo hili lilikuwa pia na picha kubwa ya kundi la Westlife,na kitabu kidogo chenye mashairi ya nyimbo za Westlife zilizokuwa katika CD na kutafsiriwa katika lugha ya Kichina.Na pia DVD ilikuwa nyimbo mbalimbali na tano kati ya hizo zilichezwa siku tamasha. Nyimbo zilizochezwa ni pamoja na.