"Fool Again" ni wimbo kutoka katika kundi la Westlife,wimbo huu ulitoka kama single yao ya tano,Wimbo huu ukawa wimbo wa tano mfululizo kutoka kwa Westlife kufika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza. Na kuvunja rekodi ya wimbo wa uliokuwa ukishikilia rekodi hiyo kutoka kwa single za kundi la B*Witched.
Mtiririko Nyimbo
- "Fool Again" (2000 Remix)
- "Tunnel of Love"
- "Fool Again" (Enhanced Section)
Nyimbo za Video
Nyimbo za Video kutoka kwa kundi hili hususani kwa single ya ""Fool Again" ulitengenezwa nchini Mexico, na kujumuisha maeneo kama vile El Zocalo na Ciudad Satelite.
Mtiririko wa Matamasha
Viunga vya nje