Miezi michache baada ya Mtume Paulo kuwaandikia Wakristo wachanga wa Thesalonike barua tulivu, akarudia kuwaandikia kutokana na taarifa nyingine zilizomtia tena wasiwasi.
Akawafafanulia zaidi Ujio wa pili wa Bwana na dalili zake, akiwahimiza hasa kufanya kazi kwa bidii na kuwajibika wakati wa kungojea ujio huo wa Yesu badala ya kuiacha kwa kisingizio cha kwamba, eti Kristo amesharudi (2Thes 2:1-15; 3:6-15).
Mpangilio
Mpangilio wa barua hizo ni uleule wa barua zitakazofuata: baada ya salamu na shukrani kwa Mungu, yanafuata mafundisho ya imani, halafu maadili, na hatimaye salamu nyingine.
Marejeo
Buttrick, George Arthur; Bowie, Walter Russell; Scherer, Paul; Knox, John; Bailey Harmon, Nolan; Terrien, Samuel, whr. (1955), The Interpreter’s Bible, juz. la 11th, Nashville: Parthenon Press
Brown, Raymond; Collins, Raymond; Murphy, Roland, whr. (1990), The New Jerome Biblical Commentary, Englewood Cliffs, NJ: Prentice Hall
Clarke, Adam (1831), The New Testament of our Lord and Saviour Jesus Christ, juz. la 2nd, New York: Methodist Episcopal Church
Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waraka wa pili kwa Wathesaloniki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!