Vinsenti, Sabina na Kristeta (Talavera de la Reina, Hispania, karne ya 3 - Avila, Hispania, 304) walikuwa ndugu waliouawa pamoja kikatili wakati wa kukimbia dhuluma ya kaisari Dioklesyano dhidi ya Wakristo[1][2] [3].
Heshima ya watu kwao kama watakatifu wafiadini ni ya zamani sana.
Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Oktoba[4].