Karne ya 3 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 201 na 300. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 201 na kuishia 31 Desemba 300. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.