Stigma (kwa Kigiriki στίγμα iliandikwa kama Ϛ au ϛ) ilikuwa kiasili herufi ya sita ya alfabeti ya Kigiriki kabla ya kusanifishwa. Sauti yake ilikuwa kama ST.
Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki kwa sababu lugha ilipoteza sauti hiyo. Alama ilitumiwa kwa namba 6 pekee.
Marejeo
Viungo vya nje