San (kwa Kigiriki σάν iliandikwa kama Ϻ au ϻ) ilikuwa kiasili herufi ya kumi na saba ya alfabeti ya Kigiriki kabla ya kusanifishwa. Sauti yake ilikuwa kama S. Asili yake ilikuwa Sade ya Kifinisia.
Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki kwa sababu lugha ilipoteza sauti hiyo.
Marejeo
Viungo vya nje