Taarifa ya kwanza imepatikana kutoka kwa Wareno waliozunguka hapa kuanzia mwaka 1505.
Kwa karne moja na nusu meli au jahazi zilipitia Shelisheli tu kwa kusudi la kuchota maji ya kunywa au kukusanya matunda bila ya kuanzisha makao ya kudumu. Majambazi wa baharini walipenda kujificha Shelisheli.
Ndio Ufaransa uliojenga vituo vya kwanza vya kudumu mwaka 1756. Wafaransa waliita visiva "Seychelles" kwa heshima ya waziri wao wa siku zile Jean Moreau de Sechelles.
Tangu 1993 katiba ilisahihishwa tena ikiruhusu vyama vingi vya kisiasa.
Chama kilichopata kura nyingi ndicho SPPF (Seychelles People's Progressive Front).
Wakazi
Wakazi kwa jumla (93.2%) ni machotara wenye mchanganyiko wa damu ya Afrika bara, Ulaya na Asia. Licha ya hao kuna vikundi vidogo vya Wahindi (6%), Wazungu (5%) na Wachina (0.5%) halisi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Shelisheli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!