"Sexy Love" ni wimbo wa nne na wa mwisho kutolewa Marekani na ni wimbo wa pili kutolewa kimataifa na msanii wa muziki wa R&B na pop Ne-Yo, kutoka katika albamu ya kwanza.
Wimbo huu ulipata kushika nafasi ya 7 katika chati za Billboard Hot 100 bora. Katika Uingereza, wimbo ulishika nafasi ya 21 katika kupakuliwa peke yake. Uliinukia katika sehemu 16 na kushika nafasi ya 5 pale wimbo kamili ulipotolewa.[1]
Miundo na orodha ya nyimbo
- UK CD
- "Sexy Love" (toleo la albamu) 3:40
- "So Sick" (toleo la kawaida kama lilivyosikika katika Redio ya BBC katika kipindi cha Jo Whiley) 3:02
- Maxi Single
- (Island Def Jam / UMG / 06025-1703580-5)
- "Sexy Love" 3:40
- "Sexy Love" (ya kawaida) 3:33
- "Sign Me Up" 3:27
- "Sexy Love" [Video]
Chati
Marejeo
Viungo vya nje
|
---|
Albamu zake | |
---|
Single zake | |
---|
Single alizoshirikishwa | |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|