"Miss Independent" ni wimbo wa mwimbaji na mtunzi wa muziki wa R&B-pop wa Kimarekani - Ne-Yo. Ni wimbo wa pili kutoka katika albamu yake ya Year of the Gentleman na wimbo ulitayarishwa na Stargate.[1] Hii ni sampuli kutoka katika wimbo wa "Forget About Me" wa Little Bit (aka Lil' Bit).[2] Wimbo ulitungwa na Ne-Yo kwa ushirikiano wa Stargate. Ulitolewa ukiwa kama muziki wa kupakua mkondoni mnamo tar. 26 Agosti 2008 na kutolewa kikawaida kunako mwezi Septemba, 2008.
Muziki wa video
Ne-Yo amefanya muziki wa video wa "Miss Independent" na mwongozaji Chris Robinson mnamo Jumatatu ya tar. 11 Agosti 2008 mjini Santa Monica, California. Video imeuzisha sura baadhi ya wasanii kama vile Keri Hilson, Gabrielle Union, Lauren London na Trey Songz.
Chati
Marejeo
Viungo vya Nje
|
---|
Albamu zake | |
---|
Single zake | |
---|
Single alizoshirikishwa | |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|