Potamoni, Ortasi na Serapioni (walifariki Aleksandria, 341/345) walikuwa mapadri wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani sahihi pamoja na waumini thelathini na nne waliopinga Uario[1].
Wanaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Mei[2][3].