Akisukumwa na upendo wake mkubwa na mahitaji ya maskini, ili kuwasaidia yeye mwenyewe alifariki fukara sana [6].
Maandishi
Mwandishi mahiri[7], kati ya Mapapa wa karne za kwanza, ndiye aliyeandika zaidi.
Mwaka494, aliandika baruaDuo sunt kwa kaisariAnastasius I kuhusu mahusiano ya Kanisa na Dola; barua hiyo aliathiri siasa kwa karibu miaka elfu.[8] Ili kuzuia mamlaka ya kaisari isidhuru umoja wa Kanisa, alichambua kwa dhati sifa za mamlaka hiyo ya kidunia na za ile ya kiroho, akisisitiza haja ya kila upande kuwa huru.
Pia zimetufikia barua zake nyingine zaidi ya 100[9]. Maandishi mengine yalitajwa kuwa ya kwake ingawa si kweli; lengo lilikuwa kuyatia maanani zaidi.
↑The title of his biography by Walter Ullmann expresses this:Gelasius I. (492–496): Das Papsttum an der Wende der Spätantike zum Mittelalter (Stuttgart) 1981.
↑Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Norman F. Cantor, Civilization of the Middle Ages.
Cohen, Samuel (2022). "Gelasius and the Ostrogoths: jurisdiction and religious community in late fifth‐century Italy". Early Medieval Europe. 30 (1): 20–44. doi:10.1111/emed.12519. ISSN 0963-9462.
Neil, Bronwen, and Allen, Pauline (eds. and trans.). The letters of Gelasius I (492-496) : pastor and micro-manager of the Church of Rome. Turnhout, Belgium. pp. 8–9. ISBN 978-2-503-55299-6. OCLC 893407493.
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gelasio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!