Katika matabaka ya chini ya angahewa ozoni ni sumu kwa viumbehai ikitokea kwa viwango juu ya ppm 0.1. Kwa binadamu inaweza kukera pua na koo pamoja na kuleta kichefuchefu. Kuathiriwa kwa muda mrefu kunaweza kuleta kufura kwa mapafu[1].
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ozoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!