Orodha ya nchi za Afrika
Afrika duniani.
Afrika kutoka angani.
Kanda za Afrika: Afrika Kaskazini Afrika Magharibi Afrika ya Kati Afrika Mashariki Kusini mwa Afrika (Mpangilio wa Kanda za nchi za Umoja wa Mataifa
Orodha ya nchi huru na maeneo barani Afrika inafuata kanda za Afrika jinsi zilivyopangwa na Umoja wa Mataifa . Majina ya nchi hutajwa pamoja na maeneo yanayotawaliwa na nchi nje ya Afrika au ambayo yamekuwa sehemu kamili ya nchi nje ya Afrika.
Mpangilio wa nchi kwa kanda za kaskazini, magharibi, mashariki, kati na kusini hufuata mfumo wa Kanda za nchi za Umoja wa Mataifa .
Jina la nchi au eneo, bendera
Eneo (km²)
Wakazi (mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²
Mji Mkuu
Burundi
27,830
9,824,000
401.7
Bujumbura
Komoro
2,170
783,000
363.1
Moroni
Jibuti
23,000
961,000
38.6
Jibuti
Eritrea
121,320
6,895,000
43.1
Asmara
Ethiopia
1,127,127
90,076,000
88.2
Addis Ababa
Kenya
582,650
44,234,000
79.0
Nairobi
Madagaska
587,040
23,043,000
41.3
Antananarivo
Malawi
118,480
16,307,000
145.3
Lilongwe
Mauritius
2,040
1,263,000
624.0
Port Louis
Mayotte (Ufaransa )
374
229,000
641.7
Mamoudzou
Msumbiji
801,590
25,728,000
34.9
Maputo
Réunion (Ufaransa)
2,512
853,000
342.8
Saint-Denis
Rwanda
26,338
11,324,000
440.8
Kigali
Shelisheli
455
97,000
211.0
Victoria
Somalia
637,657
10,972,000
16.9
Mogadishu
Sudan Kusini
619,745
12,340,000
19.2
Juba
Tanzania
945,087
48,829,000
56.6
Dodoma
Uganda
236,040
35,760,000
165.4
Kampala
Zambia
752,614
15,474,000
21.5
Lusaka
Zimbabwe
390,580
13,503,000
39.9
Harare
Jina la nchi au eneo, bendera
Eneo (km²)
Wakazi (mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²
Mji Mkuu
Angola
1,246,700
25,326,000
20.1
Luanda
Kamerun
475,440
21,918,000
49.1
Yaoundé
Jamhuri ya Afrika ya Kati
622,984
4,900,000
7.9
Bangui
Chadi
1,284,000
13,675,000
10.9
N'Djamena
Kongo, Jamhuri ya
342,000
4,706,000
13.5
Brazzaville
Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia
2,345,410
77,267,000
32.9
Kinshasa
Guinea ya Ikweta
28,051
1,996,000
30.1
Malabo
Gabon
267,667
1,873,000
6.4
Libreville
São Tomé na Príncipe
1,001
194,000
189.8
São Tomé
Jina la nchi au eneo, bendera
Eneo (km²)
Wakazi (mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²
Mji Mkuu
Algeria
2,381,740
39,903,000
16.7
Algiers
Misri (2)
1,001,450
88,523,000
91.4
Cairo
Libya
1,759,540
6,278,000
3.6
Tripoli
Moroko
446,550
33,680,000
77.0
Rabat
Sudan
1,861,484
30,894,000
21.6
Khartoum
Tunisia
163,610
11,118,000
68.8
Tunis
Maeneo ya Hispania na Ureno katika Afrika ya Kaskazini :
Visiwa vya Kanari (Hispania ) (3)
7,492
1,694,477
226.2
Las Palmas de Gran Canaria ,Santa Cruz de Tenerife
Ceuta (Hispania) (4)
20
71,505
3,575.2
—
Visiwa vya Madeira (Ureno )(5)
797
245,000
307.4
Funchal
Melilla (Hispania) (6)
12
66,411
5,534.2
Jina la nchi au eneo, bendera
Eneo (km²)
Wakazi (mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²
Mji Mkuu
Botswana
600,370
2,176,000
3.8
Gaborone
Eswatini
17,363
1,119,000
74.1
Mbabane
Lesotho
30,355
1,908,000
70.3
Maseru
Namibia
825,418
2,281,000
3.0
Windhoek
Afrika Kusini (7)
1,219,912
54,957,000
44.7
Bloemfontein , Cape Town , Pretoria
Jina la nchi au eneo, bendera
Eneo (km²)
Wakazi (mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²
Mji Mkuu
Benin
112,620
10,782,000
96.6
Porto-Novo
Burkina Faso
274,200
18,450,000
66.0
Ouagadougou
Cabo Verde
4,033
525,000
129.2
Praia
Côte d'Ivoire (8)
322,460
23,326,000
70.4
Abidjan , Yamoussoukro
Gambia
11,300
2,022,000
176.2
Banjul
Ghana
239,460
27,714,000
114.5
Accra
Guinea
245,857
10,935,000
51.3
Conakry
Guinea-Bissau
36,120
1,788,000
51.1
Bissau
Liberia
111,370
4,046,000
40.4
Monrovia
Mali
1,240,000
17,796,000
14.2
Bamako
Mauritania
1,030,700
3,632,000
3.9
Nouakchott
Niger
1,267,000
18,880,000
15.7
Niamey
Nigeria
923,768
184,000,000
197.2
Abuja
Saint Helena (Uingereza )
410
4,000
19.6
Jamestown
Senegal
196,190
14,150,000
77.1
Dakar
Sierra Leone
71,740
6,513,000
89.9
Freetown
Togo
56,785
7,065,000
128.6
Lomé
Sahara ya Magharibi (Moroko ) (9)
266,000
509,000
2.2
El Aaiún
Jumla
30,368,609
1,153,308,000
Ramani ya Afrika.
Mipaka ya nchi za Afrika.
Maelezo
Kanda zinazotajwa (Afrika ya Kusini – Magharibi n.k.) zinafuata utaratibu wa Umoja wa Mataifa UN categorisations/map .
Misri imo Afrika lakini sehemu ya eneo lake iko Asia ya Magharibi. Wengine huiita nchi ya kimabara .
Visiwa vya Kanari ni sehemu ya Hispania ikiwa Las Palmas de Gran Canaria pamoja na Santa Cruz de Tenerife ndiyo miji mikuu pamoja mara nyingi huhesabiwa kuwa sehemu ya Afrika ya Kaskazini; viko karibu na Moroko and Sahara ya Magharibi ; wakazi na eneo vya 2001.
Mji wa Ceuta ni eneo la Hispania ufukoni wa Bahari ya Mediteraneo ikizungukwa na nchi ya Moroko ; wakazi na eneo ni ya 2001.
Visiwa vya Madeira ni sehemu ya Ureno , mara nyingi huhesabiwa kuwa sehemu ya Afrika ya Kaskazini viko karibu na Moroko ; wakazi na eneo vya 2001.
Mji wa Melilla ni eneo la Hispania ufukoni wa Bahari ya Mediteraneo ikizungukwa na nchi ya Moroko ; wakazi na eneo ni ya 2001.
Bloemfontein ndiyo makao ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini , Cape Town ni makao ya Bunge , Pretoria ni makao makuu ya serikali .
Yamoussoukro ndiyo rasmi Mji Mkuu wa Côte d'Ivoire lakini Abidjan ni makao ya serikali hali halisi.
Sahara ya Magharibi imetekwa na kutawaliwa kwa sehemu kubwa na Moroko hali isiyokubalika na jumuiya ya kimataifa