Hii orodha ya makabila ya Kenya inatokana na orodha ya lugha za Kenya iliyotolewa na Ethnologue.
Ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Kenya, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Kenya na nchi za jirani.
Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi Kenya kama wakimbizi kutoka vita katika nchi za jirani, wala vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Arabia, Uhindi au nchi nyinginezo.
Asilimia inaonyesha mgao wao ukifananishwa na idadi yote ya Wakenya[1]:
Kuna makabila asilia karibu arubaini nchini Kenya, yakiwemo[2]:
Makabila mengine yasiyo ya Kenya lakini yamekaa nchini kwa miaka mingi ni:
Jamhuri ya Afrika ya Kati · Afrika Kusini · Algeria · Angola · Benin · Botswana · Burkina Faso · Burundi · Cabo Verde · Chad · Eritrea · Eswatini · Ethiopia · Gabon · Gambia · Ghana · Guinea · Guinea-Bissau · Guinea ya Ikweta · Jibuti · Kamerun · Kenya · Kodivaa · Komori · Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo · Jamhuri ya Kongo · Lesotho · Liberia · Libya · Madagaska · Malawi · Mali · Mauritania · Misri1 · Morisi · Moroko · Msumbiji · Namibia · Niger · Nigeria · Rwanda · São Tomé na Príncipe · Senegal · Shelisheli · Sierra Leone · Somalia · Sudan · Sudan Kusini · Tanzania · Togo · Tunisia · Uganda · Zambia · Zimbabwe
Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi
Visiwa vya Kanari / Ceuta / Melilla (Hispania) · Madeira (Ureno) · Mayotte / Réunion (Ufaransa) · Saint Helena (Ufalme wa Muungano) · Zanzibar (Tanzania)