Mto Muzizi

Mito na maziwa ya Uganda.

Mto Muzizi unapatikana magharibi mwa Uganda (wilaya ya Mubende, wilaya ya Kyegegwa, wilaya ya Kibaale, wilaya ya Kyenjojo, wilaya ya Kabarole na wilaya ya Ntoroko).

Maji yake yanaingia katika ziwa Albert.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!