Nile ya Viktoria

Nile ya Viktoria ni sehemu ya mto Naili inayoanzia kaskazini mwa ziwa Nyanza karibu na Jinja (Uganda), inaunda ziwa Kyoga na matawi yake katikati ya nchi, halafu inaelekea magharibi kwenye ziwa Albert.

Sehemu kati ya maziwa Kyoga na Albert pengine inaitwa "Nile ya Kyoga". Mto ukitoka ziwa Albert unaitwa "Nile ya Albert".

Tazama pia

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!