Artvin ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, katika pwani ya Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa kona ya nchi, kwenye mpaka wa nchi ya Georgia.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Artvin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!