Artvin ni mji uliopo kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, ambao pia upo katika Mto Çoruh karibu kabisa na mpaka wa nchi ya Georgia. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Artvin.
Jiografia
Artvin ya leo
Kama jinsi iliyo miji mingi ya Uturuki tangu miaka ya 1970 Artvin ukikuwa ukionekana kutodhibitiwa mfumo wa ujenzi mzuri na majengo na ofisi za serikali zipo mbaya kabisa kiasi kwamba imeondoa vivutio vyote vya kihistoria katika mji huo. Pia inaaminika kwamba mji wa Artvin kamwe hautokuwa mji mkubwa, utabaki kuwa kamji ka mkoa tu.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Artvin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!