Mary Martha Sherwood

Mary Martha Sherwood

Mary Martha Sherwood (6 Mei 177522 Septemba 1851) alikuwa mwandishi wa vitabu vya watoto kutoka Uingereza katika karne ya 19.

Kati ya kazi zake zaidi ya mia nne, zinazojulikana zaidi ni The History of Little Henry and his Bearer (1814) na mfululizo miwili The History of Henry Milner (18221837) na The History of the Fairchild Family (18181847). Uinjilisti wake ulijitokeza sana katika maandiko yake ya awali, lakini kazi zake za baadaye zilijumuisha mada za kawaida za Victoria kama maisha ya nyumbani. [1]

Marejeo

  1. Demers, Patricia (2004). "Mary Martha Sherwood". Oxford Dictionary of National Biography. London: Oxford University Press. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2022.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Martha Sherwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!