Zamani za Ugiriki wa Kale Korintho ilikuwa bandari muhimu. Mji ulitajirika kutokana na biashara iliyopita kwenye shingo ya nchi. Biashara yote kwa majahazi kati ya Italia na Asia Ndogo ilipitia humo; bidhaa zilitolewa Korintho na kubebwa na wapagazi njia ya shingo ya nchi hadi kuendelea kwa jahazi nyingine upande wa mashariki.
Mji uliharibiwa kabisa na Waroma mwaka 146 KK na kuundwa upya na Julius Caesar mwaka 44 KK kama koloni la Kiroma. Ulikua haraka na kuwa na mchanganyiko wa watu kutoka Italia, Ugiriki na Wayahudi.
Alirudi tena mwaka 58 akikaa miezi mitatu. Waraka kwa Waroma uliandikwa huko mwaka huo wakati akisubiri kuabiri kwenda Yerusalemu ili kuwasilisha michango kwa ajili ya Wakristo fukara.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Korintho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!