Akko
Akko kutoka juu.
Akko (kwa Kiebrania : עַכּוֹ, ʻAkkō ; pia: Akka (kwa Kiarabu : عكّا, ʻAkkā [ 1] ; uliwahi kuitwa pia: Tolemais ) ni mji wa pwani katika Israeli Kaskazini . Una bandari asili katika Hori ya Haifa .[ 2]
Kutokana na umuhimu wa mahali ulipo, umekaliwa na watu mfululizo tangu zama za Shaba hadi leo,[ 3] ingawa uliwahi kuangamizwa mara kadhaa.
Wakazi wa sasa ni 48,000 hivi.
Mwaka 58 Mtume Paulo alikaa siku moja na Wakristo wa huko mwishoni mwa safari yake ya tatu ya kimisionari, akielekea Yerusalemu (Mdo 21:7)
Umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia .
Ni pia makao makuu ya dini ya Bahai .
Tanbihi
Marejeo
Barron, J.B., mhr. (1923). Palestine: Report and General Abstracts of the Census of 1922 . Government of Palestine.
Conder, C.R. ; Kitchener, H.H. (1882). The Survey of Western Palestine: Memoirs of the Topography, Orography, Hydrography, and Archaeology . Juz. la 2. London: Committee of the Palestine Exploration Fund .
Department of Statistics (1945). Village Statistics, April, 1945 . Government of Palestine.
Hadawi, S. (1970). Village Statistics of 1945: A Classification of Land and Area ownership in Palestine . Palestine Liberation Organization Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-08. Iliwekwa mnamo 2016-06-04 .
Head, Barclay; na wenz. (1911), "Phoenicia" , Historia Numorum (tol. la 2nd), Oxford: Clarendon Press, ku. 788–801 .
Hütteroth, Wolf-Dieter; Abdulfattah, Kamal (1977). Historical Geography of Palestine, Transjordan and Southern Syria in the Late 16th Century . Erlanger Geographische Arbeiten, Sonderband 5. Erlangen, Germany: Vorstand der Fränkischen Geographischen Gesellschaft. ISBN 978-3-920405-41-4 .
Kahanov, Yaacov; Stern, Eliezer; Cvikel, Deborah; Me-Bar, Yoav (2014). "Between Shoal and Wall: The naval bombardment of Akko, 1840". The Mariner's Mirror . 100 (2): 147–167. doi :10.1080/00253359.2014.901699 .
Karsh, E. (2010). Palestine Betrayed . Yale University Press. ISBN 978-0-300-12727-0 .
Le Strange, G. (1890). Palestine Under the Moslems: A Description of Syria and the Holy Land from A.D. 650 to 1500 . Committee of the Palestine Exploration Fund .
Maundrell, H. (1703). A Journey from Aleppo to Jerusalem: At Easter, A. D. 1697 . Oxford: Printed at the Theatre.
Mills, E., mhr. (1932). Census of Palestine 1931. Population of Villages, Towns and Administrative Areas . Jerusalem: Government of Palestine.
Pappé, I. (2006). The Ethnic Cleansing of Palestine . London and New York: Oneworld. ISBN 978-1-85168-467-0 .
Peters, E. (1971). The First Crusade: The Chronicle of Fulcher of Chartres and Other Source Materials. The Middle Ages Series . Philadelphia: University of Pennsylvania Press. (23–90, 104–105, 122–124, 149–151)
Petersen, Andrew (2001). A Gazetteer of Buildings in Muslim Palestine (British Academy Monographs in Archaeology) . Juz. la I. Oxford University Press . ISBN 978-0-19-727011-0 .
Philipp, Thomas (2001). Acre -The rise and fall of a Palestinian city, 1730-1831 . Columbia University Press . ISBN 978-0-231-12326-6 .
Pococke, R. (1745). A description of the East, and some other countries . Juz. la 2. London: Printed for the author, by W. Bowyer.
Pringle, Denys (1997). Secular buildings in the Crusader Kingdom of Jerusalem: an archaeological Gazetter . Cambridge University Press . ISBN 0521-46010-7 . (pp. 16 -17)
Rhode, H. (1979). Administration and Population of the Sancak of Safed in the Sixteenth Century . Columbia University . Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-01. Iliwekwa mnamo 2020-05-12 .
Riley-Smith, J. (2010), A History of the World-Object: Hedwig glass beaker , BBC
Sharon, M. (1997). Corpus Inscriptionum Arabicarum Palaestinae, A . Juz. la 1. BRILL. ISBN 978-90-04-10833-2 .
Torstrick, Rebecca L. (2000). The Limits of Coexistence: Identity Politics in Israel . The University of Michigan Press . ISBN 978-0-472-11124-4 .
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Akko travel guide kutoka Wikisafiri
Safari ya kwanza Safari ya pili Safari ya tatu
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu . Je unajua kitu kuhusu Akko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .