Siku ya nane ni pia mwanzo wa mwaka mpya ambao tunaomba uwe na amani. Ndiyo siku ya Yesu kutahiriwa na kupewa jina hilo linaloeleza maana ya yeye kujifanya mtu (ישוח = Mungu anaokoa). Lakini hasa tunamshangilia Bikira Maria mzazi wa Mungu, sifa yake bora iliyompatia fadhili nyingine zote.
Inafuata sherehe ya Epifania (Tokeo la Bwana) ambapo mwanga wa Kristo uliwafikia watu wa mataifa (mamajusi).
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipindi cha Noeli kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!