Jimbo katoliki la Geita (kwa Kilatini "Dioecesis Geitaensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mwanza.
Askofu wake ni Flavian Kassala.
Historia
- 1984: Kuanzishwa kwa Jimbo katoliki la Geita kutokana na jimbo ya Mwanza
Uongozi
Takwimu
Eneo ni la kilometa mraba 41,311, ambapo kati ya wakazi 1,908,000 (2006) Wakatoliki ni 398,000 (20.9%).
Viungo vya nje
|
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Geita kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|