Isidori wa Kio

Mt. Isidori (kazi ya karne ya 6).

Isidori wa Kio (alifariki 251) alikuwa Mkristo (labda kutoka Aleksandria, Misri) aliyeuawa majini katika kisiwa cha Kio (leo nchini Ugiriki) wakati wa dhuluma ya kaisari Decius wa Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 14 Mei[2].

Tazama pia

Tanbihi

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!