Eusebi, Ponsiani na wenzao Visenti na Peregrino walikuwa Wakristo waliouawa karibu na Roma kwa imani yao mwishoni mwa karne ya 2[1][2][3].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao ni tarehe 25 Agosti[4].