Makala hii imepangwa kwa mfululizo: Siasa na serikali ya Kenya
Eneo bunge la Mumias Mashariki ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo kumi na mawili ya Kaunti ya Kakamega.