Kaunti ya Kakamega
Msitu katika Kakamega
Kaunti ya Kakamega ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010 .
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,867,579 katika eneo la km2 3,020, msongamano ukiwa hivyo wa watu 618 kwa kilometa mraba [ 1] .
Makao makuu yako Kakamega .
Utawala
Kaunti ya Kakamega imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[ 2] :
Eneo bunge
Kata
Butere
Marama West , Marama Central , Marenyo-Shianda , Marama North , Marama South
Ikolomani
Idakho South , Idakho North , Idakho East , Idakho Central
Khwisero
Kisa North , Kisa East , Kisa West , Kisa Central
Likuyani
Likuyani , Sango , Kongoni , Nzoia , Sinoko
Lugari
Mautuma , Lugari , Lumakanda , Chekalini , Chevaywa , Lawandeti
Lurambi
Butsotso East , Butsotso South , Butsotso Central , Sheywe , Mahiakalo , Shirere
Malava
West Kabras , Chemuche East , Kabras , Butali/Chegulo , Manda-Shivanga , Shirugu-Mugai , South Kabras
Matungu
Koyonzo , Kholera , Khalaba , Mayoni , Namamali
Mumias Magharibi
Mumias Central , Mumias North , Etenje , Musanda
Mumias Mashariki
Lusheya/Lubinu , Malaha/Isongo , Makunga/East Wanga
Navakholo
Ingotse-Mathia , Shinoyi-Shikomari , Esumeyia , Bunyala West , Bunyala East , Bunyala Central
Shinyalu
Isukha North , Isukha Central , Isukha South , Isukha East , Isukha West , Murhanda
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [ 3]
Butere 154,100
Kakamega Central 188,212
Kakamega East 167,641
Kakamega North 238,330
Kakamega South 111,743
Khwisero 113,476
Likuyani 152,055
Lugari 122,728
Matete 66,172
Matungu 166,940
Mumias East 116,851
Mumias West 115,354
Navakholo 153,977
Tazama pia
Tanbihi
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Kakamega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .