Wilaya ya Lamu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa Lamu mjini.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Lamu.
Eneo la wilaya ni kanda la ardhi ya Kenya bara kusini ya mpaka wa Somalia pamoja na funguvisiwa la Lamu.
Eneo la wilaya lilikuwa km² 6,167 na idadi ya wakazi 72,686 [2]. Wenyeji ni hasa Wabanjuni.
Kuna misitu ya mikoko ufukoni.
Wilaya ilikuwa inachagua wabunge wawili wa Lamu Mashariki na Lamu magharibi.
Tarafa za utawala
|
|
Tarafa
|
Wakazi wote*
|
Wakazi wa mjini*
|
Makao makuu
|
Amu |
17,310 |
12,839 |
Lamu
|
Faza |
7,474 |
0 |
Faza
|
Hindi |
7,072 |
1,335 |
|
Kiunga |
3,310 |
0 |
Kiunga
|
Kizingitini |
6,010 |
0 |
Kizingitini
|
Mpeketoni |
25,530 |
773 |
Mpeketoni
|
Witu |
5,980 |
1,322 |
Witu
|
Total |
72,686 |
16,269 |
-
|
* 1999 census. Sources: [2], [3],
|
Marejeo
Viungo vya Nje
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Lamu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|