Wilaya ya Kween ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki, Uganda.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 103,300 (mwaka 2012).
Tazama pia
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kween kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |