Wilaya ya Kakumiro

Wilaya ya Kakumiro
Majiranukta: 00°47′N 31°20′E / 0.783°N 31.333°E / 0.783; 31.333
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
mji mkuu Kakumiro
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 300,000
Tovuti:  http://www.kakumiro.go.ug

Wilaya ya Kakumiro ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2016 kutokana na wilaya ya Kibaale.

Idadi ya wakazi inakadiriwa kuwa 300,000.

Tazama pia

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!